Wachuuzi Eastleigh wapinga kuondolewa kwao nje ya maduka

Shughuli za kibiashara zilisitishwa kwa siku ya pili hii leo  katika mtaa wa Eastleigh, hapa jijini Nairobi baada ya wafanyi biashara kufunga maduka yao wakilalamikia kuhangaishwa na wachuuzi nje ya maduka yao wakidai hali hiyo imelemaza biashara zao.…wakati huo huo mwenyekiti wa chama cha wachuuzi katika kaunti ya nairobi amekanusha vikali madai hayo na kuarifu kuwa hawange fungua biashara zao barabarani iwapo ardhi waliokuwa nayo hapo awali haingenyakuliwa na kisha kuuzwa kwa mfanyibiashara wa kibinafsi ….mwanahabari wetu Hassan Farah na maelezo zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories