Waendeshaji Bodaboda Kisumu waandamana kupinga ada mpya


Waendeshaji bodaboda katika kaunti ya kisumu mapema hii leo waliandamana baada ya ada mpya ya shilingi 500 kutozwa kwa waendeshaji pikipiki. Waendeshaji hao walielekeza maandamano yao hadi afis ya gavana lakini kumkosa.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: A section of Jubilee MPs jittery with Kenyatta-Odinga pact

Story By Saida Swaleh
More by this author