Wafanyabiashara wakadiria hasara kutokana na maandamano

Mamia ya wafanyibiashara wanazidi kukadiria hasara chungu nzima kutokana na kukatizwa kwa shughuli za uuzaji na ununuzi kila mara. Hapa jijini Nairobi wengi wanalaumu mamlaka husika kwa kukosa kuweka mikakati mahususi ya kuwalinda dhidi ya athari za maandamano hayo.

Tags:

Nairobi NASA Anti-IEBC demos

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories