Wafanyakazi wa KBC wagoma

Wafanyikazi katika Shirika la Utangazaji nchini KBC wamesusia kazi hii leo huku wakitaka nyongeza ya mishahara yao. Wafanyakazi hao wanautaka uongozi wa KBC kusaini mkataba wa maelewano kati ya pande mbili hizo

Tags:

KBC SRC Mishahara

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories