Wafanyakazi wa Trans Nzoia hawajalipwa mishahara


Huenda wafanyakazi wa kaunti ya Trans Nzoia wakalazimika kusubiri mishahara yao hadi mwezi Septemba mwaka huu. Kulingana na wafanyakazi hao zaidi ya 3,000 serikali ya kaunti iliwatumia barua kuwaarifu kuwa haina pesa za kuwalipa mishahara ya mwezi Juni na hofu yao ni kuwa hawana uhakika iwapo watalipwa malimbikizi ya mishahara ya miezi minne kufikia Septemba.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Collins Shitiyabayi
More by this author