Wafanyakazi waongezewa asilimia 18 ya mishahara

Rais Uhuru Kenyatta ametangaza nyongeza ya asilimia kumi na nane kwa mshahara wa chini kwa mfanyikazi wa serikali. Aidha Rais alidokeza kuwa hatua hiyo itawezesha wakenya wengi kujikimu hasa kufuatia gharma ya juu ya maisha inayoshuhudiwa kwa sasa. Mwanahabari wetu Denis Otieno alikuwa kwenye maadhimisho ya Leba Dei na kutuandalia taarifa hii.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories