Wafanyibiashara wa miraa kuanza kuipeleka tena Somalia kuanzia kesho

Ndege za kusafirisha Miraa kutoka Kenya hadi nchini Somalia kurejelea safari zake kutoka hapo kesho baada ya makubaliano baina ya Rais Uhuru Kenyatta na rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamoud. Uamuzi huo ulijiri baada ya marais hao wawili kufanya mkutano wakati wa kongamano la 53 la IGAD iliyofanyika leo jijini Mogadishu, Somalia.

Tags:

IGAD Miraa somalia mogadishu Hassan Sheikh Mohamoud

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories