Wafanyikazi wa umma ambao wanataka kugombea wapata nafuu

Wafanyikazi wa umma ambao  wanataka kugombea viti mbali mbali katika uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti walitarajiwa kuwa wamejiuzulu kufikia usiku wa leo. Hata hivyo korti imewapa nafuu baada ya kuahirisha uamuzi wake kuhusu swala hilo hadi tarehe 14. Kesi hiyo ambayo imekuwa ikisikizwa katika mahakama mjini Kericho, inataka tume ya ya uchaguzi nchini iebc kuongeza muda wa wafanyikazi hao kujiuzulu. Stephen letoo na taarifa hiyo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories