Wafuasi wa Gavana Wa Iria na wale wa Jamleck wakabiliana

Kinyang’anyiro cha ugavana kaunti ya Murang’a kinazidi kuibua tumbo joto la kisiasa, huku wafuasi wa Gavana Mwangi Wa Iria na Mbunge wa Kigumo Jamleck Kamau wakitimuana kuhusu utumuzi wa kiwanja cha mumbi. Hata ingawa kamau, kupitia kwa kikundi kimoja cha akina mama alikuwa amepata idhini ya kuandaa mkutano wa hadhara juma lijalo kupigia debe azma yake ya ugavana, serikali ya kaunti imebatilisha idhini hiyo, na ndipo kivumbi kikatifuka leo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories