Wafuasi wa Jubilee wasema wako tayari kupiga kura tena


Uamuzi wa mahakama ya juu uliwapata baadhi ya wafuasi wa chama cha jubilee kwa mshangao. Wengi katika sehemu za wafuasi hao wakionekana kuchanganyikiwa ila kuweka bayana kuwa wako tayari kwa uchaguzi mwingine kwani kura yao ni ya uhuru kenyatta. Saida swaleh na taarifa hii.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Saida Swaleh
More by this author