Wafuasi wa Jubilee wazua zogo Murang’a
Published on: March 25, 2017 08:39 (EAT)
Sokomoko zinazidi kukumba teuzi za maafisa watakaosimamia chaguzi za mchujo za Jubilee haswa katika kaunti ambazo chama hicho kina ufuasi mkubwa. Baada ya kizaazaa kushuhudiwa katika kaunti za Kiambu, Nakuru na Kirinyaga, leo ilikuwa ni zamu ya kaunti ya Murang’a, huku wafuasi wa Gavana Mwangi Wa Iria wakikabiliana na wale wa mpinzani wake mkuu Jamleck Kamau, na kuwalazimu maafisa wa polisi kutumia nguvu kuwatawanya.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment