Wafuasi wa NASA kurejelea maandamano kesho

Waziri wa usalama Dkt Fred Matiangi amewataka wafuasi wamuungano wa Nasa kusitisha maandamano ili kutoharibu biashara za watu. Matiang’i amesema kuwa maandamano hayo yanavuruga amani na kuhujumu kukua kwa uchumi. Haya ni huku viongozi wa kaunti ya Kisumu wakiwataka maafisa wa polisi kutoa ulinzi kwa wafanyibiashara na waandamanaji ili maandamano ya kesho yafanyike kwa amani bila kuharibiwa kwa amali.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories