Wafuasi wa NASA washerehekea uamuzi wa mahakama


Shangwe, vifijo na nderemo zilisheni katika sehemu tofauti humu nchini miongoni mwa wafuasi wa muungnano wa Nasa, kufuatia uamuzi wa mahakama ya juu nchini wa kubatilisha ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: High amounts of Mercury, Copper found in contraband sugar

Story By Patrick Igunza
More by this author