Wafugaji Samburu waanza kufuga ng’ombe wa kisasa
Published on: November 11, 2017 08:18 (EAT)
Visa vya mara kwa mara vya uvamizi unaotekelezwa na wezi wa mifugo na ambavyo husababisha vifo vya wafugaji na mifugo wao vimewafanya wafugaji 141 katika kaunti ya Samburu kuacha itikadi ya ufugaji wa ng’ombe wengi na sasa kuanza ufugaji wa kisasa wa ng’ombe wachache wa maziwa. hali hiyo geni ya maisha imewafanya kujiepusha na mizozo ya mara kwa mara inayotokana na kung’ang’ania sehemu chache za lishe na maji kwa mifugo.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment