Wafugaji wa Turkana wahamia Uganda

Wakaazi wa sehemu kadhaa za kaunti ya Turkana wamejipata katika mpaka wa kenya na uganda namifugo wao wakiwatafutia lishe. Imewalazimu kufika umbali huo kutokana na kiangazi kilichokithiri humu nchini hususan kaunti ya Turkana.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories