Wafugaji walilia serikali iwape chakula cha mifugo

Wafugaji kutoka kaunti ndogo ya Samburu ya kati wameitaka serikali kuu pamoja na seriklai ya kaunti kusambaza nyasi katika eneo hilo kufuatia ukame unaoendelea. kijiji kizima eneo hilo kimekuwa kikitegemea nyasi zilizopandwa katika shamba la aliyekua mbunge wa Samburu Magharibi ambapo walikuwa wakinunua kichala cha nyasi kwa shilingi mia tatu, lakini kwa sasa mbunge huyo hawauzii tena nyasi hizo.

Tags:

ukame ukulima Kiangazi wafugaji Ukosefu wa maji mifugo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories