Wafungwa 34 waambukizwa kipindupindu jela ya Kodiaga

Maambukizi ya ugonjwa wa kipindupindu sasa yanaonekana kuenea katika ameneo kadhaa huku wafungwa 34 wa jela ya kodiaga katika kaunti ya Kisumu wakiambukizwa. Haya ni huku mikahawa 17 katika kaunti ya Machakos ikifungwa kwa hofu kuwa haizingatii usafi unaohitajika na inahatarisha maambukizi ya ugonjwa huo.

Tags:

cholera kisumu Kodiaga prison kipindupindu

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories