Waganga wa wanasiasa

Huku kampeini za uchaguzi mkuu zikinoga, waganga wa kienyeji wameonekana kuanzisha biashara ya kuwaganga wanasiasa kwa lengo la kuwapa umaarufu wa kushinda viti mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu ujao. Lakini kama anavyoarifu mwanahabari wetu Collins Shitiabayi wengi wa waganga hao ni matapeli kwani wameonekana kubashiri mambo yasiokuwepo.

Tags:

wanasiasa Tran Nzoia uchaguzi wa agosti Waganga wa wanasiasa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories