Wagombea huru wa urais

Baadhi ya wagombea huru kiti cha urais walikutana hii leo asubuhi katika hoteli moja hapa Nairobi. Hafla hiyo iliyoandaliwa na mgombea urais Daktari Ekuru Aukot wa mrengo wa Thirdway Alliance ulikuwa ni wa kuweka miakakti wa kuwapa wakenya uongozi mbadala katika uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti. Baadhi ya waliohudhuria hafla hiyo ni pamoja na Cyrus Jirongo, Miguna Miguna pamoja na Profesa Wainaina.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories