Wagombea huru wafurika Westlands

Zaidi ya wagombezi 3000 wameidhinishwa kuwania nyadhifa mbali mbali kama wagombea huru huku makataa ya wawaniaji hao kuwasilisha stakabadhi kwa msajili wa vyama yakikamilika hii leo.

Wagombezi kumi wamejitosa ulingoni kuwania urais kwa tiketi hiyo huku wengine 27 wakiwania ugavana

Na kama anavyoarifu hassan mugambi, nembo za wagombezi zilisalia hadithi za kusisimua katika zoezi hilo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories