Wagombea huru wataka Uhuru awaunge mkono

Wawaniaji huru zaidi ya 4,000 waliokihama chama cha Jubilee baada ya kubwagwa kwenye chaguzi za mchujo wamemtaka Rais Uhuru Kenyatta kuwakumbatia na kuwapa nafasi ya kusaka nyadhifa mbali mbali. Haya yanajiri huku waliotamba kwenye chaguzi za Jubilee katika eneo la Mlima Kenya wakingomana kuweka mikakati ya kumtafutia Kenyatta kura.

Tags:

Uhuru kenyatta JUBILEE William Kabogo PETER KENNETH Buzeki

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories