Wagombea wa ODM jijini Nairobi wapanga mikakati

Viongozi wa ODM na wagombea viti katika kinyang’anyiro cha Nairobi wanahofia kuwa ubinafsi wa baadhi yao utawafanya kupoteza viti kwa sababu ya kugawanya kura.
Katika mkutano ulioongozwa na mkewe Raila Odinga, Ida Odinga na gavana wa Nairobi Evans Kidero, viongozi hao waliwataka wagombea kiti cha uakilishi wa akina mama Esther Passaris wa ODM na Rachael Ndambuki wa Wiper kukubaliana na mmoja wao kumwachia mwenzake ili wasipoteze kiti

Tags:

Nairobi odm EVANS KIDERO Ida Odinga Esther Passaris

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories