Wagonjwa 7 waaga dunia kutokana na Malaria Baringo

Idadi ya watu ambao wamefariki kutokana na maradhi ya Malaria huko kaunti ya Baringo imeongezeka baada ya watu saba kuaga dunia, jumla ya waliofariki sasa ikifika ishirini.

Tags:

baringo MALARIA

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories