Wahadhiri wa vyuo wamaliza mgomo

masomo katika vyuo vikuu vya umaa humu nchini yanatarajiwa kurejelewa hapo kesho baada ya mgomo wa wahadhiri kufutiliwa mbali kufuatia makubaliano na serikali. kulingana na makubaliano hayo wahadhiri watapata nyongeza ya asilimia 17.5 ya mishahara na asilimia 3.9 kama marupurupu ya makaazi. nyongeza hizo zitarudi nyuma kuanzia julai mosi 2013 hadi julai 30 mwaka huu 2017.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories