

Mgomo wa wahadhiri wa Vyuo vikuu sasa umeingia siku ya tatu huku viongozi wa chama cha wahadhiri (UASU) wakisistiza kuwa hawatarejea kazini hadi pale matakwa yao yatakapotimizwa.
Video Of The Day: | TALES OF LAMU | Island grappling with an acute shortage of fresh water