Wahalifu wageukia wanawake kama chambo, kudhuru wanabodaboda


Wahudumu wa pikipiki katika maeneo ya Malindi na Magarini kaunti ya Kilifi wanaitaka serikali kuwapa ulinzi wa kutosha kufuatia mauaji ya kiholela. Jumla ya wahudumu wa pikipiki 11 wameuliwa kinyama katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Zomolo Wanje
More by this author