Wahalifu waiba bunduki 7 kwenye kituo Mumias

 

Afisa mmoja wa polisi yuko katika hali mahututi kwenye hospitali ya St Mary’s katika kaunti ya kakamega baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.

Wavamizi haowaliiba bunduki nane aina ya g3 na zaidi ya risasi 180.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories