Wahalifu wavamia kanisa na kuwajeruhi watu, Kakamega


Wakazi zaidi ya watano katika kijiji cha Ejinja kaunti ya Kakamega walijeruhiwa vibaya baada ya kushambuliwa na watu waliokuwa wamebeba silaha. wavamizi hao waliwashambulia kwa mapanga na kuwakatakata kichwani huku wakichukua vitambulisho vyao na raslimali nyingine.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Kadzo Gunga
More by this author