Wahasiriwa 54 wa fujo za kisiasa waliaga dunia – KNCHR yasema

Tume ya kitaifa kuhusu haki za kibinadamu KNCHR sasa inasema watu 54 walipoteza maisha yao kutokana na ghasia za kisiasa tangu uchaguzi wa Agosti hadi sasa. Mwenyekiti wa tume hiyo Kagwiria Mbogori anasema watu wao ni pamoja na 17 waliofariki mwezi uliopita kufuatia utumizi wa nguvu kupita kiasi na maafisa wa polisi walipokabiliana na wafuasi wa muungano wa NASA walipoandamana dhidi ya tume ya IEBC.

Tags:

KNCHR Kagwiria Mbogori

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories