Wahudumu 2 wa KQ wakamatwa na mihadarati JKIA


Wafanyakazi watatu wa shirika la ndege la Kenya Airways wamekamatwa kutokana na madai ya kuhusika katika ulanguzi wa dawa za kulevya. Watatu hao wakiwemo wahudumu wawili wa ndege za shirika hilo na mhudumu kitengo cha mizigo cha kampuni hiyo walinaswa majira ya saa mbili asubuhi ndani ya uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: | WESTLANDS UNDERWORLD | Crooks, gov’t officials named in plot to grab man’s property

Avatar
Story By Makori Ongechi
More by this author