Wahudumu wa afya wa KDF walepekwa Kenyatta kudhibiti hali

Vuta nikuvute  inazidi kuendelea baina ya wauguzi ,madaktari na serikali wakishikilia kwamba kamwe hawatorudi kazini hadi pale matakwa yao yatakapotimizwa, msimamo ambao unaonekana kukanganya wengi kwani kulingana na katiba mpya ni kwamba usimamizi wa maswala ya afya upo chini ya serikali ya kaunti kwani tayari kaunti ya Bomet na Nakuru wameonekana kuendelea na shughuli zao kama kawaida.

Tags:

mgomo wa madaktari madaktari wa kdf

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories