Waislamu wajiandaa kwa Siku Kuu ya Eid-Ul-Adha


Zaidi ya waumini millioni mbili wa dini ya kiislamu wanahudhuria ibada ya Hajj katika mji mtakatifu wa Makkah nchini Saudi Arabia.
Hii leo waumini hao wamekongamana pamoja katika Mlima wa Arafa , huku wale waliokosa kuhiji wakifunga.
Hajj ni nguzo ya tano ya kiislamu kulingana na mafundisho ya dini hiyo na hufuatwa na sikuukuu ya Eid Ul A

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Citizen Team
More by this author