Waititu: Nitahakikisha nimemaliza pombe haramu,Kiambu

Ferdinand Waititu hii leo ameanza ramsi hatamu yake ya uongozi akiwa gavana wa kaunti ya Kiambu. Waititu na naibu wake James Nyoro waliapishwa hii leo katika hafla ya kufana iliyohudhuriwa na gavana anayeondoka william kabogo. Mwingine aliyeapishwa leo ni gavana Josphat Nanok wa kaunti ya Turkana.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories