Waziri wa zamani Anne Waiguru ajitosa kwenye siasa

Aliyekuwa waziri wa ugatuzi Anne Waiguru amejiunga rasmi na chama cha TNA katika hafla iliyofanyika katika afisi za chama hicho hapa jijini. Waiguru ambaye alijiuzulu kutoka kwa serikali mwezi November mwaka jana kufuatia sakata katika idara ya huduma kwa vijana humu nchini. Waiguru amedokeza kuwa atawania kiti katika kaunti ya Kirinyaga huku duru za kuaminika zikituarifu kuwa anamezea mate kiti cha ugavana wa kaunti ya Kirinyaga. Mwanahabari wetu Gatete Njoroge na taarifa kamili.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories