Wajumbe wa chama kipya cha Jubilee wakutana Kasarani

Wajumbe wa chama kipya cha Jubilee wamekutana kwa mara ya kwanza hii leo ikiwa ni siku moja tu baada ya vyama zaidi ya 10 kuidhinisha maazimio ya kujiondoa kwenye orodha ya vyama vya siasa na kujiunga na chama hicho kipya. Naibu Rais, William Ruto ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye shughuli hiyo ameelezea ni kwanini palikuwa na haja ya kuunganisha vyama hivyo

Tags:

Jubilee merger Kasarani chama cha jubilee

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories