Wakaazi Chemolingot waandamana kushtumu mauaji

Wakazi wa eneo la chemolingot katika kaunti ya baringo, wamewapa maafisa wa usalama katika eneo hilo siku mbili kuwakamata wauaji wa wanasiasa wawili katika eneo hilo la sivyo wachukue hatua mikonono mwao.

 

Wakazi hao wanadai kuwa wanafahamu fika wauaji wa  mwakilishi wa wadi ya loyamorok, kibet cheretei na mwaniaji kiti cha ubunge cha tiaty pepee kitambaa, na kwamba iwapo polisi hawatowajibika basi watachukua hatua mikononi mwao.

Tags:

Chemolingot

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories