Wakaazi wa Kayole walalamikia kufungiwa barabara

Hali ya taharuki imeshuhudiwa mapema hii leo katika mtaa wa Kayole, hapa jijini Nairobi baada wakaazi  wa eneo hilo kuandamana na kufunga barabara ya mzunguko ya kuelekea katika mji wa Nairobi kupitia upande wa mashariki  na kukatiza shughuli za kibiashara na usafiri wakilalamikia kufungwa kwa barabara moja eneo hilo na majeshi kutoka katika kambi ya Embakasi kwa madai ya kuwa barabara hiyo ilikuwa imejengwa katika ardhi yao.

Tags:

KDF Embakasi Kayole

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories