Wakazi mtaani Zimmerman wamo hatarini ya kuporomokewa na majumba


Mamia ya wakazi wa mtaa wa zimmerman wanakodolea macho kuangamia kutokana na athari ya majumba wanamoishi kuporomoka. Hii inatokana na kuanzishwa kwa ujenzi wa jumba jingine ambalo limekuwa likijengwa katika sehemu hiyo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Makori Ongechi
More by this author