Wakazi wa eneo la jima walioshambuliwa na kundi la kigaidi la al-shabab wameanza kuhama makwao

Wakazi wa eneo la jima walioshambuliwa na kundi la kigaidi la al-shabab wameanza kuhama makwao na kukimbilia  maeneo  wanayodhani ni salama. Haya ni baada ya watu tisa kuuliwa kinyama na kundi hilo na huku wengine wakidaiwa kutoweka.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories