Wakazi wa Kapsaret wataka wapewe fidia

Wakazi wa kapsaret kaunti ya uasin gishu wameitaka serikali ya kaunti hiyo kusitisha shughuli za kiwanda cha kuchimba mawe ambayo husangwa na kuwa kokoto, wakidai kuwa vumbi jingi limewaathiri kiafya.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories