Wakazi wa Kwale wauziwa dawa za kulevya sokoni

Baadhi ya waathiriwa wa dawa  za kulevya  katika eneo la Diani kule Msambweni  kaunti ya Kwale  wanajaribu kubadilisha mkondo wa maisha yao, kwa kufanya usafi katika miji ya Ukunda  na Diani kila siku, ili kujiepusha na majaribu ya kutumia mihadarati. Na kama anavyotueleza mwanahabari wetu  Nickky Gitonga  idadi ya vijana wanaotumia dawa za kulevya kaunti ya Kwale imeongezeka kutoka 3,500 hadi 4,200 katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita.

Tags:

KWALE Diani Ukunda Mihadarati dawa za nkulevya

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories