Wakazi wa Ngomeni huko Kitui wanaishi na wasiwasi

Wanafunzi wanapojiandaa kuanza muhula wa tatu kote nchini, wale walioko katika eneo la Ngomeni kaunti ya Kitui bado hawana uhakika ni lini watarudi shuleni kwa masomo ya awamu ya tatu. Hii ni kufuatia msururu wa mashambulizi ambayo yamepelekea kuuawa kwa watu kadhaa katika eneo hilo na wengine kujeruhiwa vibaya. Na kama anvyoarifu mwanaahabari wetu Asasha Elizabeth, mashambulizi hayo yanadiwa kutekelezwa na wachungaji haramu wa mifugo wenye asili ya kisomali

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories