Wakazi wa Nyali, Mombasa waandamana

Wakaazi wa Nyali huko Mombasa wameandamana wakipinga madai ya mwanabiashara mmoja kunyakua  ardhi ya nusu ekari ambayo imekuwa ikitumika kwa miaka mingi kama makaburi ya uma.

Tags:

Mombasa nyali

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories