Wakazi wa Turkana watembea kilomita 50 kusaka maji
Published on: January 21, 2017 08:33 (EAT)
Makali ya njaa na kiu yanazidi kuwaathiri wakazi wa Kaunti ya Turkana, hali
hii imeendelea kuwa mbaya kufuatia ukame unaoshuhudiwa katika maeneo ambayo hupata mvua chache. Wakazi wengi wanatembea mwendo wa masafa marefu kutafuta maji. Mwanahabari wetu Emmanuel Cheboit anatupasha zaidi kutoka Turkana.
Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000
Comments
No comments yet.
Leave a Comment