Wakazi wa Uasin Gishu wakemea wabunge kwa kuitisha mshahara mnono


Mjadala kuhusu kuongezwa au kupunguzwa kwa mishahara ya wabunge unazidi kutokota. Na kama anavyotufahamisha John Wanyama, Wakazi wa kaunti ya Uasin Gishu wanawaona wabunge kama walafi wasiojali maslahi ya mwananchi aliyewachagua.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By John Wanyama
More by this author