Wakazi waanza kuwafuga punda badala ya ng’ombe, Kisumu


Akili ni nywele na kila mtu ana zake, ndivyo wasemao husema. Yaelekea kuwa wakazi kwenye mpaka wa Nandi, Kericho na Kisumu wamegundua mbinu mpya ya kupunguza wizi wa mifugo baina yao na majirani zao. Wakazi hao sasa wameamua kufuga punda badala ya ng’ombe. Wanaafiki kuwa hatua hiyo imechangia kupunguza wizi wa mifugo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Patient\'s intestine cut during Caesarean delivery at KNH

Story By Citizen
More by this author