Wakazi wachoma mali ya mshukiwa wa mauaji

Wakazi wenye ghadhabu wameteketeza mali yenye thamani ya mamilioni ya pesa ya mama mshukiwa wa mauaji huko Bikeke eneo bunge la Kiminini kaunti ya Trans Nzoia. Mama huyo anatuhumiwa kumuua kijana aliyekuwa mfanyakazi wake.

Tags:

Kiminini

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories