Wakazi wafurahia uteuzi wa Maraga, Bonyamatuta, Nyamira

Muungano wa jubilee hauna pingamizi zozote kuhusiana na kuteuliwa kwa jaji David Kenani Maraga kuwa jaji mkuu. Haya ni kwa mujibu wakiongozi wa wengi bungeni Aden Duale ambaye anasema kuwa ni matumaini ya muungano wa jubilee kuwa maraga atatekeleza marekebisho katika idara ya mahakama na kushirikiana na serikali na bunge. Haya yanajiri huku viongozi na waumini wa kanisa la Seventh Day Adventist hapa jijini Nairobi na nyumbani kwao jaji maraga huko nyamira wakielezea imani yao kuwa jaji maraga ataiendesha idara ya mahakama ipasavyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories