Wakazi wanahofia kufurushwa mtaani Woodly

Familia zinazoishi katika mtaa wa Woodley hapa nairobi zinaishi kwa hofu kufuatia agizo jipya la kuwafarusha kutoa mtaa huo lilitolewa na serikali ya Kaunti ya Nairobi. Chama cha wakaazi wa mtaa huo kinadai kwamba agizo hilo kutoka idara makaazi na sheria linanuia kyuwahangaisha wapangaji halisi ambao wamekuwa katika mtaa huo kwa miaka mingi.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories