Wakazi wanalalama kuhusu hudumu duni, Turkana Mashariki

Kaunti ya Turkana ilitengewe shilingi bilioni 15 kwenye sekta ya afya kutokana na mahitaji yake katika kipindi cha fedha cha mwaka 2016 mwaka 2017. Kiasi fulani cha fedha hizo kinalenga kuimarisha sekta ya afya kwa kujenga hospitali zaidi na kuajiri
wauguzi, pamoja na kununua vifaa vinavyohitajika. Lakini cha kusikitisha ni kuwa baadhi ya maeneo katika kaunti hiyo yangali kufaidi mgao huo. Mwanahabari wetu Cheboit Emmanuel alizuru hospitali moja iliyoko
mashinani upande wa Turkana mashariki.

Tags:

josephat nanok Turakana Afya Cheboit Emmanuel

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories